Sunday, 12 July 2020

Hapa chini ni mfano wa muonekano wa picha,maelezo ya jumla ya taarifa zako zote za kifedha, grafu zinazoonyesha asilimia kwa matumizi na kipato.


Picha ya kwanza itaonekana Kila unapogusa sehemu ya application hiyo kwa kuonyesha sehemu ya katikati (Balance over view) jumla ya kiasi kilichopo, sehemu ya juu ni sehemu inayoonyesha jumla ya matumizi yako(Total expenses)  na sehemu ya chini ni sehemu ya matumizi (Recent outflow)na kipato kilichoingia (Recent inflow).

Picha ya pili inaonyesha matumizi na kipato kwa asilimia, sehemu nyekundu ni matumizi uliyofanya na kijani ni salio lililopo, chini ni grafu zinazoonyesha kiasi cha fedha kwa kipato na matumizi pia. Na kupata muonekano huu utapaswa kubonyeza sehemu ya juu inayoonyesha matumizi upande wa kishoto 223,000/475000 kipato chako upande wa kulia.

No comments:

Post a Comment