Sunday, 12 July 2020

HITIMISHO



Somo letu limefika mwisho, hongera kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho nina amini litakusaidia kufuatilia kwa ukaribu zaidi taarifa zako za kifedha kwani unaweza kujaza  ukiwa sehemu yoyote na muda wowote, kuna kitu nimejifunza kupitia somo hili, haijalishi unafahamu nini kwa udogo upi omba nafasi ya kushirikisha na utaongeza ufahamu kwenye jambo hilo kwani utajiandaa vya kutosha na kufahamu zaidi ya ulivyokua unafahamu mwanzo, nikushukuru kocha kwa nafasi hii uliyonipa kwani nina imani kwa kuweza kuwashirikisha haya nilipata nafasi ya kulifahamu somo hili kwa undani tofauti na mwanzo na sasa niwakaribishe kwa nyongeza kwa kile ambacho unakifahamu na sijakiweka hapa kwani application hii ina mambo mengi sana, lakini pia niwakaribishe kwa maswali na ufafanuzi zaidi,Hongereni kwa kuchaguwa kuwa humu kisimani kwani haita tokea mkafa kwa kiu ya maarifa, asanteni na  uwe na siku njema.

No comments:

Post a Comment